MAHABATI

Ushawahi kuishiwa na maneno ya kumwambia mwanamke? Aidha inaweza kuwa mpenzi wako, ama yule ambaye unamtongoza? Well hapa ndipo tunaingilia kati...

MAHABATI. Kitabu ambacho kitakusaidia kukupatia maneno yote matamu ya kumwambia mwanamke aidha kupitia kwa njia ya mdomo, meseji ama kwa simu.

Tumekusanya zaidi ya maneno 500 yote yakiwa matamu kuanzia mistari, tenzi, jumbe, nyaraka, ngeli, nk hivyo basi hutatatizika ukitafuta maneno ya kumwambia mwanamke.

Baadhi ya maswala yaliyoshughulikia ni:

  • Kumsifia mwanamke
  • Kukuza uhusiano
  • Kumwomba penzi mwanamke
  • Kumuomba msamaha
  • Kumwonya asikutende
  • Kuachana naye
  • nk

Kwa kuchanganya maujanja kutoka kwa blog yetu ya Nesi Mapenzi na kitabu hiki, tuna uhakika mkuu kuwa utapanua uwezo wako wa kumridhisha mpenzi wako/ girlfriend mtarajiwa.

Maneno yote yaliyokusanywa katika kitabu hiki yamefanyiwa uchunguzi na majaribio ya kina na paneli yetu ya Nesi Mapenzi hivyo yanafanya kazi ipasavyo.

Kitabu chenyewe ni BURE, ila unachohitajika ni kuweka email na jila lako ili upewe link ya kuDOWNLOAD. Weka email hapo chini.


18 comments:

Jiunge na jamii yetu ya Facebook/App yetu ili uweze kutangamana na members na readers wetu wa Nesi Mapenzi ama ujitafutie mpenzi HAPA

Powered by Blogger.