Hivi karibuni tumekuwa tukipokea jumbe nyingi kutoka kwa
readers wetu wa Nesi Mapenzi wakitoa shuhuda zao kuwa blog yetu imeweza kuwapa
ujuzi na maarifa wa kuwapata wanawake ambao wamekuwa wakiwaota kila siku. Well
hapa Nesi Mapenzi tunasema hongera kwenu, na tumependezwa na mafanikio yenu.
Ok leo tumekuja na chapisho specially la ‘Jinsi ya kumfanya
mwanamke avue nguo mwenyewe’. Hili chapisho ni la wale ambao tayari wana
wapenzi ama tayari washavuka mipaka ya maingiliano binafsi kwa mwanamke. Kama huna mpenzi ingia hapa
kwanza. Kama uko naye endelea kusoma chapisho hili.
Well, najua umezoea zile hatua za kawaida za kufanya hadi
ulale na mwanamke. Kwanza unampeleka chumbani faraghani, unaanza kumkiss,
unamsisimua... unapapasa mikono yako kuanzia juu mpaka chini, unaanza kumvua
nguo. Anakataa, unalazimisha. Unaanza tena ile hatua ya kwanza mpaka mwisho
anakubali.
Leo tumeamua kuongea mbinu nyingine tofauti na hizi za
kawaida. Badala ya wewe kumvua nguo, chapisho hili ni spesheli la kumfanya
mwanamke avue nguo mwenyewe.
Mbinu hizi unaweza kuzitumia kwa girlfriend wako ama unaweza
kuzitumia kwa mwanamke ambaye umeweza kujuana na yeye. Kama umechoshwa na kila
siku ni wewe ndie wa kumvua nguo basi hakuna shida, leo atazivua mwenyewe.
Mbinu zenyewe ni kama zifuatazo:
#1 Mwambie avue
mwenyewe.
Hii ndio njia ya moja kwa moja ambayo unaweza kumwambia
mwanamke avue nguo. Je hii mbinu ushawahi kuitumia awali? Na kama uliitumia
ulipata majibu gani kutoka kwa mwanamke?
Kutumia hii mbinu lazima umpatie masharti yaliyo moja kwa
moja. Kwa mfano badala ya kumwambia “avue nguo zake” unapaswa kumwambia “avue
shati lake”. Maagizo ambayo ni rahisi kutimiza huwa ni vigumu kwake kukataa.
Kwa mwanamke ambaye anakataa/mgumu kutimiza jambo hilo,
wakati mzuri wa kumwambia “avue [semehu ya nguo] yake” ni wakati ambapo
mumepata kuongea maongezi ambayo yamegusa mioyo yenu. Kwa mfano umejaribu
kumfanya avue shati lake kwa muda wa dakika 30 na amekataa muda huu wote, so
umeamua kutulia kidogo uangalie ni kitu gani kinaendelea kwa nafsi yake.
Unaongea naye vizuri na unampendeza, halafu anakwambia kuwa mambo yameenda
haraka wewe na yeye na mlijuana tu hivi karibuni. Unadeal na hili jambo
alilokwambia, muelezee filosofia yako ya “ule wakati ambao unapeleka mambo
polepole huwa ni pale ambapo unameet na mwanamke usiyempenda, (ama waweza
kumwambia filosofia yako yeyote ile ambayo unapenda kuitumia), halafu unarudi
kuendelea kumkiss. Na kabla hujajaribu kumvua shati wewe mwenyewe wakati huu,
unasita mwanzo, unamwangalia kwa macho yake na kumwambia: “Vua shati lako”
Atatii kile ambacho umemwagiza afanye.
Unaweza kuongeza sababu kama unaona kuwa anahitaji kushawishiwa kidogo. Kwa mfano
unaweza kumwambia maneno kama; “Vua sidiria yako angalau matiti yapumue”, “Vua
jeans yako sababu kifungo chake kinaniumiza. Sababu yeyote ambayo unaona
inaweza kuwa sababu ya kufuata maagizo yako wewe tumia tu bora tu mwisho wa
siku aweze kuvua kila kitu ambacho unatamani avue. Hata kama ni sababu
isioeleweka kama “ngozi yako inahitaji kupumua” wewe tumia muhimu ni kuwa
unafungua matamanio yake ya kuwa uchi na wewe na kumpa sababu za kufanya vitu
ambavyo angetamani kufanya.
#2 Jenga tenshen na
utumie vizingiti.
Njia nyingine ya uhakikisho ya kumfanya mwanamke avue nguo
mwenyewe ni kwa kujenga tenshen. Na tenshen inaweza kujengwa kwa kutumia mbinu
zifuatazo:
- Kumkiss kiromantic (kwenye midomo na kila mahali)
- Kumtomasa mwili mzima na mikono yako
- Kupumua kwa ngozi yake
- Kuuskuma mwili wake kwa ukuta ama kwa kitanda
- nk
Wakati mwingine ukimsisimua mwanamke vya kutosha anaweza
kuwa active hadi akavua nguo mwenyewe. Lakini wanawake wengi hawawezi kufanya
hili jambo...hata uwasisimue mara ngapi, watalala tu hapo wakingojea uwafanyie
kila kitu, wakungojee wewe uwavue nguo.
So mara kadhaa, kama wataka mwanamke avue nguo yeye
mwenyewe, lazima umshawishi afanye jambo hilo.
Hivyo matumizi ya vizingiti
inaingilia kati. Kama hujapata kujua maana ya vizingiti ni kuwa ni matamshi
yeyote ambayo yanajenga changamoto kwa mwanamke apitie ili apate kile ambacho
anataka. Bora tu ahisi hio changamoto atakayoipitia ina manufaa kwake.
Kwa mfano uko katika klabu na mwanamke mnajienjoy, halafu
mazungumzo yenu yamefika kileleni, halafu unamwambia, “Naskitika kuona hawa
watu wote wametuzunguka, kwa sababu kama tungekuwa pekeetu mimi na wewe hapa
sahizi ningezivua hizo nguo zote ulizozivaa mara moja,” huu ni mfano wa
kizingiti. Kizingiti hapa ni “hawa watu wote”, Hawa wato wote ndio wanakuwa
kizingiti chako cha kukuzuia kutohakikisha kuwa unamvua nguo zote. Anaweza
kuvutiwa na jazba yako kuona ya kuwa unatamani kumfanyia vituko lakini unazuiwa
kutofanya unachothaminia kwa kuwa kuna watu wengi, ama anaweza kuchukua hatua
ya kuondoa hicho kizingiti (katika hali kama hii anaweza kukuambia mwende
sehemu nyingine: anaweza kujitolea, “Tunaeza enda kwangu”)
Kumfanya mwanamke avue nguo mwenyewe, unaweza kutumia
vizingiti kama:
- “Naskitika kukuona umevalia sidiria muda huu. Ningependa kunyonya chuchu zako”
- “Natamani nisingekuona umevalia shati sahizi coz nataka kuzamisha uso wangu kwa matiti yako”
- “Ni mbaya sana nakuona umevalia jeans zako sababu kile kitu ambacho nilikuwa nataka kukufanyia hungeamini katika hisia zako.”
- “Kama ungekuwa hujavalia chupi sahizi ningekuwa nakufanyia mambo ambayo hujawahi kushuhudia maishani mwako”
- nk
Ufunguo hapa ni kuhakikisha kuwa masharti yako fioa
yanaeleweka vizuri, na pia unataka kuhakikisha kuwa ahadi yako iko wazi kuwa
atanufaika kama atatizimiza kile ambacho ungetaka afanye.
#3 Nendea chupi yake
(yale mengine atayafanya mwenyewe)
Hii ndio mbinu ya raha zaidi ya kufanya kwa kuwa unajitokeza
kama mwanaume ujuba. Unachukua yale majukumu ya kiume ambao yameshonwa katika
DNA ya mwanaume tangu hata kabla nyakati za mababu zetu. Hapa utakuwa umechukua
jukumu la kiume huku ukiwa umevunja bombwe ya kawaida na ukiwa umemuacha
akitapatapa akihakikisha amezitoa nguo zote ambazo amebakisha.
Katika hali hii, unapuuza shati lake, sidiria, soksi...
yaani kila kitu ambacho amevalia isipokuwa chupi na panti. Kama amevalia sketi,
na unaweza kuvua chupi yake bila kutoa sketi yake, basi wewe fanya hivyo bila
kushughulika na dress yake.
Kuna wanawake wengine watatoa nguo zote ambazo wamebaki nazo
kwa mwili kama sehemu yao nyeti imeachwa wazi. Washaamua kuwa mapenzi
yatafanyika, kukataa kumeisha, na wanaonelea kuwa watainjoy zaidi kama wataamua
kuwa uchi... So wanaamua kuvua kila kitu.Hii moja kwa moja inakupa mkono wa
mbele kumfanya mwanamke kuvua nguo mwenyewe bila hata kulazimishwa.
Ok. Hizi ni baadhi ya mbinu za kutumia kuhakikisha mwanamke
anavua nguo mwenyewe. Tunatajarija utazijaribu halafu utuletee majibu hapa hapa
Nesi Mapenzi. Upo!?
daaaa ni darasa tosha
ReplyDelete