Je unamjua mwananamke mwenye kiu? Kama unamjua ni mwanamke
gani basi swali la pili unafaa ujiulize ni je yule mwanamke ninayemfukuzia ni
mwenye kiu au la?
Najua ushawahi kuskia aina hii ya mwanamke lakini huzijui
tabia zake, labda hujawahi kukumbana na mmoja ana kwa ana. Well, leo sifa zake
tutaziorodhesha. Huyu ni mwanamke ambaye huwa na sifa za uchu, ni rahisi
kumuapproach na kukupa uroda bila kufikiria mara mbili.
Kama unataka kujiridhisha haraka basi hawa ndio wanawake
unaweza kuwafukuzia na utakuwa na uhakika wa juu ya kuwa utafaulu katika azma
yako. Lakini iwapo unataka mwanamke wa kumpeleka nyumbani kwenu na mwishowe
kumuoa basi epuka na aina hii ya mwanamke.
Mwanamke mwenye kiu na uchu utamjua na tabia zifuatazo.
#1 Ulimpata katika baa/klabu. Hapa sisemi kuwa wanawake wazuri hawapatikani
katika baa ama vilabu, la. Ninachosema ni kuwa ukipata mwanamke sehemu hizi
halafu baada ya usiku mwingi kuingia anakubali kwenda na wewe nyumbani kwako
basi ujue ni mwenye kiu. Labda lengo lake kuu ilikuwa nikuenda klabu na kupata
mtu wa kulala naye.
#2 Alikuwa amekujaajaa. Hii ni njia ya moja kwa moja
kuonyesha kuwa mwanamke aina hii anajionyesha ili umchague. Mwanamke ambaye
anataka mahusiano ya kweli hawezi kuwa na hisia za kukushika ama kukuingia
mwilini wakati wote. Mwanamke mwenye kiu atafanya hivi ili akuvutie umpende
haraka.
#3 Ulilala na yeye haraka. Kuna wanawake wengi ambao
wanaweza kuingiliana haraka na wewe halafu wakaendelea na mahusiano marefu, lakini
mara nyingi wanawake hawa huwa wanataka tu kula uroda. Wana kiu cha kutambulika
na pia kutaka zaidi. Wanawake wengi hudhania kuwa kulala na mwanaume ni njia ya
kumfanya akutambue haraka, jambo ambalo si kweli.
#4 Anakupigia simu usiku wa manane. Hii hufanyika iwapo
mwanamke ana uchu na wala hana lengo la kuwa katika mahusiano. Wanawake aina
hii watakupigia usiku wa manane ili watimize tamaa zao za uchu. Ukiwaambia waje
kwako nyakati hizo za usiku watakuja mara moja.
#5 Mawasiliano yenu ni ya mlalano. Kiufupi mahusiano yenu ni ngono, ngono,
ngono. Hata kama mmeenda out kuangalia filamu mwisho wa siku mtafanya ngono.
Hakuna cha ziada ambacho mtakuwa mnaongea. Hii ni ishara kuu ya kutambua iwapo
mwanamke huyu ana kiu kisichoisha.
#6 Anataka kujua kila kitu kukuhusu. Hapa mwanamke aina hii
hatakupa time. Ana tamaa ya kukufahamu kila kitu kwa lengo la kuingia katika
mahusiano na wewe. Atakuwa anakuuliza maswali yasiyokuwa na mwisho. Epuka
mwanamke kama huyu sababu kiu chake kukimaliza si rahisi.
#7 Anasuka kila mwanaume anayemuona. Utamjua ni mwanamke
mwenye kiu kwa kuwa anatafuta atenshen. Ni kama ana njaa isiyoisha hivyo kila
mwanaume atakayekutana naye atakuwa anarusha ishara za kutongoza hata kama
unatembea ama uko na yeye.
#8 AnakuSMS kwa mpigo bila kusita. Aina hii ya mwanamke
atakuwa anataka kuwasiliana na wewe kila wakati. Ukiona mwanamke anakutumia
meseji mara kwa mara, kila wakati basi fahamu anataka atenshen. Kiu chake kwako
bado kiko kingi.
#9 Anasema kuwa nyinyi ni wapenzi mara ya kwanza kuongea
naye. Hata kama uko mshapu kiasi gani katika kutongoza wanawake, ukiona ya
kwamba mwanamke anajitokeza na kujitambulisha kuwa wewe na yeye mko pamoja na
hata hujapiga hatua ya maana kumtongoza basi hapo fahamu kuwa kuna tatizo.
Itakuwa ni wale aina ya wanawake wanaotaka kuonekana kama wana wapenzi. Huyu ni
mwanamke mwenye kiu cha kuwa na uhusiano bila hata kufikiria.
#10 Anakuashiria maneno ya mapenzi. Labda mnaongea tu mambo
ya kikawaida halafu ghafla mwanamke aina hii akaanza kukutajia maswala ya mambo
anayopenda kitandani, filamu za ngono, uroda nk bila hata kufikiria. Well, huyu
atakuwa anarusha nyavu kuangalia kama itanasa chochote. Hapa ukizubaa tu utanaswa,
na kiu chake hakitamalizika.
#11 Anahakikisha anakuona mara kwa mara. Kila wakati yeye
anapiga mahesabu ya sehemu ambazo anaweza kukutana na wewe mpaka inafika mahali
unaudhika. Well, huyu ni mwanamke ambae kiu chake bado hakijakamilika vilivyo.
#12 Yuko rahisi. Si kila mwanamke ambaye utakumbana naye
atakuwa rahisi kumtongoza. Na si kila mwanamke unayelala naye kirahisi anaweza
kuingia katika mahusiano marefu na wewe. Lakini ukiona kuwa huyu mwanamke
anakufungulia chupi haraka, utahitaji uwe na tashwishi na unahitajika
kumchunguza zaidi iwapo ataonyesha ishara tulizoziorodhesha awali kuhakikisha
kuwa ni mwanamke mwenye uchu.
Well, je wataka kuwajua na kuwatambua aina hii ya wanawake?
Kitabu chetu cha Kutongoza Mwanamke: Kuanzia Hadharani Hadi Kitandani
kitakufundisha na kukuelekeza.
No comments:
Jiunge na jamii yetu ya Facebook/App yetu ili uweze kutangamana na members na readers wetu wa Nesi Mapenzi ama ujitafutie mpenzi HAPA